God’s Design for the Church (Kusudi la Mungu kwa Kanisa)

A Guide for African Pastors and Ministry Leaders

At the beginning of the twentieth century, Christians in Africa numbered approximately nine million—by the end, that number had grown to more than 380 million. As the number of Christians continues to grow, African pastors are often overwhelmed and in desperate need of guidance.

Drawing from three decades of pastoral experience in Zambia, Conrad Mbewe has written a comprehensive handbook specifically for African pastors and church leaders. Structured around twenty commonly asked questions about God’s design for the church, this helpful resource covers topics ranging from the definition of church and the role of church members to the importance of doctrine. Through this book, Mbewe aims to equip pastors and leaders with biblical principles that will “permeate the landscape of Africa and transform its churches for generations to come.”

Published in partnership with the Gospel Coalition and 9Marks.

This book was made possible in partnership with Ekklesia Afrika. Visit their website here.

Mwanzo wa karne ya ishirini, Wakristo hapa Afrika walikuwa wa kuhesabika; takribani milioni 9. Kufikia mwisho wa karne hiyo, idadi hiyo ilikuwa imeongezeka hadi zaidi ya milioni 380. Idadi ya Wakristo inapoendelea kuongezeka, wachungaji wa Kiafrika mara nyingi wanashindwa na wanahitaji mwongozo sana.

Kutokana na miongo mitatu ya uzoefu wa uchungaji kule Zambia, Conrad Mbewe ameandika mwongozo mpana maalum kwa ajili ya wachungaji na viongozi wa kanisa wa Afrika. Mwongozo huu umeundwa kutokana na maswali ishirini yanayoulizwa sana kuhusu kusudi la Mungu kwa kanisa. Kitabu hiki kielekezi kinazungumzia mada kuanzia ufasili wa kanisa na wajibu wa washiriki wa kanisa hadi umuhimu wa mafundisho. Kupitia kwa kitabu hiki, Mbewe analenga kuwatayarisha wachungaji na viongozi na kanuni za kibiblia ambazo “zitapenya katika mandhari ya Afrika na kubadilisha makanisa yaliyoko kwa ajili ya vizazi vijavyo.”